Hip Hop In Z-town Official

This iz ma Hood...

Our Aim

If we put the clock back a few more years to 1997 and take the ferry from Dar es Salaam to the island of Unguja (Zanzibar), local hip hop was mostly centered around a few individuals who all knew each other. There was no music industry to speak of, so the only rap recordings from those days were the live recordings of the ‘Mabishoo’ tape that was all taped on the sound system of Fuji Disco (Bububu, north of Zanzibar town) and a few more home-made albums like a cassette by Kim Pekee, one half of the duo behind ‘Mabishoo’.

Another guy involved with those recordings was Cool Para, who after a first rap effort went on to form his own rap group called Struggling Islanders together with Cool Muza, Haji and female emcees SJ & Aunt Suria. They got some funding from the ministry of education to go to the mainland to Soundcrafters studio and record ‘Historia’, a song about the beautiful history of post-revolution Zanzibar and a string of other tunes, which together made up their first album.

Right now the Hip Hop Music in Zanzibar Has taken Over WE 've a lot of Different Artists and Hip Hop Crew and Units. In Reality they are Doin very well in the Music Industry, compare wit Before. This Blog it's Privet Owned and it's hire to Support the Hip Hop Music and Artists with their career.. Lets show them our Support. NOTE THIS BLOG IT'S FOR PROMO ONLY.. Hip Hop 4 life..

Hip Hop is the Reality

Hip Hop is the Reality

Friday, August 26, 2011

Brand New Collabo

Ki aka Kheri Qula, Mchizi ni Mzaliwa wa Zanzibar anayeishi Nchini Holland dizaini anakula Nondo Pande za Holland Pa 1 na shule ambayo anayo ameamua kufunguka kupitia http://hiphopinz-townofficial.blogspot.com kuwa Mziki ni sehemu ya Maisha yake.... Alikutana na Wasafi President Diamond Platnum alipokuwa kwenye tour Nchini Holland na Kudrop Brand New Clollabo. Ngoma inaitwa The Only One, Mzigo umepigiwa BondSquad pande za Holland Chini ya Mtayarishaji Lon B aliyepiga Mzigo na Ali Kiba Kwenye ngoma ya Hadithi. Chini ya Carpet Video inanukia soon.. Sikiliza Ngoma yake Kwenye Play List.. Mixin ya Swagger za Kibongo na za Kiholanzi

Sunday, August 14, 2011

Habariiii Zenyu Bhaaaanaaa!!!!! Haina Majotroooo ndiyo Mpango... Basi Kama Vipi Sign in Kwa Passwords hizi hapa 88.2 Coconut Fm ndiyo Station Run The Beat ndiyo Kipindi Starling ni Yorum a.k.a Show 5, Young Tozzy Baaiiiibiiiiiii.....

.....Ni kweli kabisa ndani ya Zanzibar Huwezi kuitaja Hip Hop kama Hujamtaja Mwanaharakati wa ukweli kabisa anayefanya Muziki huu wa Hip hop uzidi kusonga Mbele.. Amekuwa Mstari wa Mbele katika Movement na kuhakikisha Muziki huu unakuwa na Kuzidi kukua si mwingine ni Yorum a.k.a Show 5 a.k.a Young Tozzy... Nilipata kupiganae story na jamaa na Nikamuuliza alifikiria nini hasa mpaka akaingia studio na kutengeneza Ink pamoja na all Hip Hop Stars in Zanzibar na sio aina nyingine ya muziki kama R&B, Zuku na mingineyo? Akaniambia Unajua kuwa Hip Hop ndio Muziki wa Ukweli Pekee ulio mkomboa Muafrika mweusi katika harakati za utumwa.. So Hip hop is Us and I am a Hip Hop.. Hahahahahaaa yaani jamaa ndio alimaliza hivyo.. Msikilise Kupitia Run the Beat,Kuanzia saa 02:00 pm hadi 05:00Pm  88.2 Coconut Fm Zanzibar, Tanzania..

Anasema, Nimezaliwa Kwa Jemedari Karume, It's tha Z-town usiulize Kwengine, Amma Zanzibarian Gangstar.... .... ..... Daimn ni Noumer xana xasa huyu Jamaa.. Msome pande za 507 Impalla...

....Nilibahatika kupita pande za 507 Impalla Kwa Mchina Mwanzo Zanzibar, na kukutana na Jemedari la Muziki wa Hip Hop ndani ya Visiwa vya Marashi ya karafuu Zanzibar, Nassor a.k.a Bizzo Rythyms na kupiga nae story mbili tatu.. Dahh!!! Huwezi amini mchizi alivokuwa na punch noma.. Jamaa aliniambia Hip Hop now kwa Zanzibar inafanya Vyema na Sasa wameachia Mzigo wao Mpya wa WE RUN THESE CITYS, A-Town & Z-Town.. amefanya yeye na Jembe lake la Kribu Kabisa Kutoka Arusha mwite Yes...i... Pia amesema kwa Fanz wao Wote wakae Mkao kwa Bonge ya Suprise mara Baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani..aliendelea kusema kuwa wamejipanga Vyema yeye na Yes...i... so watu wakae mkao wa kula na sasa hivi watakuwa wanafanya shuhuli zao za Muziki jijini Dar es salaam (Bongo). Pia nimegundua pia Jamaa ni Muumini safi wa Dini ya Kiislamu sababu nilifika kitaa na nikaambiwa Mshkaji hakuwepo cuz alikuwa Msikitini anafanya Ibada. ......

Anajulikana Kama Yussuf Moh'd akiwa kazini mwite 2- Point, 2 - Pweezy, Like Father like Son... a.k.a The King of the Afternoon shooow... Password zake ni 93.05 Hits Fm Zanzibar katika Bongo Zone...


Saturday, July 9, 2011

Na hii ni kutoka Kali Kwa Wote Unit tena.. Wale majemedari wa Muziki wa Hip Hop Kutoka Kali Kwa Wote Unit.. Kwa mara nyingine wanawaleta kwenu Yes...i... na Bizzo Rythms wakashirikiana na Tha Big Prod. Aloynem Kutoka Jupiter Records Zanzibar wanakinukisha na Mzigo wao Mpya unaokwenda Kwa jina la WE RUN THESE CITYS THE PLACE WHERE WE BORNE... A-town & Z-town.. It's realy hot Baibyyyyy!!!!!! Dont miss this hire...

We run These Citys the place where we Borne A-City & Z-Town.... hivyo ndivyo Chorus ya wimbo huo Mpya wa yes...i... & Bizzo Rythms ft. Aloynem unavyo enda.. Ki ukweli zaidi tunaamini kuwa sasa Hip Hop in Zanzibar ime take Over, Kwa hii Ngoma Mpya ya Yes...i... & Bizzo Rythms wanavyoelezea ni Kwere arifu... Yes...i... yeye ameelezea Zaidi Home town yao ambayo ni Shina la Muziki wa Miondoko ya Hip Hop.. yaani Arachuga a.k.a A-City au Arusha.. ......Bizzo Rythms naye ameielezea Z-town au Zanzibar kwa Undani .. Yaani ni Kwere tupu kwenye hii Kazi Ukimsikia Aloynem anavo piga Bridge zake hapo kati Dah!! Big Up 2 Cipher Headzz in U.K , Prod. Aloyenem of Jupiter Rec Zanzibar & Yes...i... & Bizzo Rythms of Kali Kwa Wote Unit ..... Keep itr up... Yeah!! Hip Hop 4 lif.... In God we Trust..

Saturday, June 18, 2011

It's another time Ladies & Gents Huu ndio Ulivyo anza Ufunguzi Wetu wa ZIFF.. Tulianza na Oliver "Tuku" Mtukudzi is a Zimbabwean Musician born September 22, 1952 in Highfield, Harare Kakamua Bonge La Shooo!!!! Moja Kali saaaana Duh!! Yeah!

With his husky voice, he has become the most recognized voice to emerge from Zimbabwe and onto the international scene and he has earned a devoted following across Africa and beyond. A member of Zimbabwe's KoreKore tribe, Nzou Samanyanga as his totem, he sings in the nation's dominant Shona language along with Ndebele and English. He also incorporates elements of different musical traditions, giving his music a distinctive style, known to fans as "Tuku Music". Mtukudzi has had a number of tours around the world. He has been on several tours in the UK, USA and Canada to perform for large audiences.... Dah!! Na jamaa Anakamua Kinoma Arifu Dah!! Bhaaaaaasiii!!!

Monday, June 13, 2011

Hii Ni katika Muendelezo wa Burudani Ndani ya Zanzibar.. Ni Party after Party..... Hii ndio June July Jombaaa, Sasa basi Kabla Lile Bata la Fiesta Haina Majotrooo Kukushukia July 24, 2011 tunaanza na ZIFF tarehe 24 June, 2011 msanii wa Miondoko ya Dancehall Orville Richard Burrell a.k.a Shaggy atadondoka na Bonge la Show

Wale wakali wa Burudani The Prime time Promotion wakishirikiana na ZIFF Zanzibar International Film Festival wanakuletea Bonge la Show Kutoka Kwa Msanii Mwenye Asili ya Jamaica Anaye ishi Nchini Marekani na Kufanya Kazi zake za Muziki Nchini Marekani Orville Richard Burrell a.k.a Shaggy ... Akizungumza na Chanzo Hiki Kwanjia ya Simu Mmoja Kati ya Wasemaji wakuu wa Prime time Promotion alisema kuwa Shaggy atakamua Booonge la Show Siku ya Ijumaa ya Tarehe June 24 Kwa Kiingilio cha Shilingi 15,000.00 Kwa Mtanzania na Shiling 100,000.00 Kwa Ambaye sio Mtanzania... Aliendelea kusema kuwa Show itafanyika Katika Viwanja vya Ngome Kongwe Mambo Club (Old Fort) Stone Town Zanzibar.. Milango itakuwa Wazi Kuanzia Saa 12 00 Jioni (0600Pm) ... Hii ndio June July... Party after Party.. Asante Prime Time Promotion Asante ZIFF..

Wednesday, June 8, 2011

Z- Town Mko Tayariiiiiiiiiiiiiii.... Ni wale wale The Prime Time Promotion (88.2 Coconut Fm, 88.4 Clouds Fm na Clouds Tv ) Kumdondosha Shaggy ndani ya Zanzibar International Fillam Festival tarehe 24 - 06 - 2011...

..........Habari yako Bhaana! Wewe Mkazi wa Zanzibar na Tanzania mpaka East Africa and Beyond, Pande hizi ni Mbishe Mwanzo Mwisho Arifuu.. Haya sasa wale wanaooniunga mkono kuwa Bata Boy.. Si Mbali sana kwa waleee wanaojuaga ile kipindi ya June July in the Z-Town si ndio hii..
  .. Tunalifungua Bata Kama ifuatavyo, Ni Ndani ya ZIFF (Zanzibar International Film Festival 2011), Wale watoto wa Ghorofani The Prime Time Promotion Wanawadondoshea Bongeee la Show Kutuka Kwa Gwiji la Muziki wa Ragga, Kutoka Kingstone Jamaica anayefanya kazi zake za Muziki huko Nchini Marekani.. Na huyu si Mwingine ni Orville Richard Burrell a.k.a Shaggy...........   Yaani hapo ni Bata tuu mpaka ile ile... Pia atakuwa Mwanamuziki Oliver Mtukuzi, na Wengine Kibaoooo.. Kama Vipi Terehe 24 - 06 - 2011, Tukutane pale Kati... Kwa habari Zaidi Sikiliza 88.2 Coconut Fm Zanzibar..   Haina Majotroooooooooooo!!!!!!!!............... 

Brothers & Sisters... Ladies & Gents.. Ni wakati Mwingine tena wa kuwapa Tuzo Wanamuziki wetu Ma Mziki Zanzibar.. Ni Siku ya Ijumaa ya Terehe 10 - 06 - 2011.. Pale Salama Hall Bwawani Hotel.. Njooni tuwapongeze masanii wetu kwa Kazi nzuri wanazozifanya..

Je Nani ni Nani?!!!  Kazi kwenu Mashabiki Zimebaki siku Chache kufunga Kupokea Kura Please haujachelewe Mpigie Kura Msanii Umpendaye.. Pamoja sana..

Sunday, May 15, 2011

Mpigie Kura King Pozza, Ili aweze Kushinda Tuzo za Zanzibar Music Award 2011. Jinsi ya Kumpigia Kura Follow me..

Jinsi ya Kumpigia Kura King Pozza ili aweze Kushinda Tuzo za Zanzibar Music Award, Fungua Ukurasa wa Message kwenye simu yako, halafu unaandika namba 12, unatuma Kwenda Namba + (0) 765 968 968.. Tunapanda kutanguliza Shukrani zetu za dhati kwenu.. Asante kwa Kumsaport King Pozza Asante kwa Kuisaport HIP HOP ...   Hip Hop 4 lif...  

Friday, May 13, 2011

Another time, Another year.. Imefika ile Mida ya Kumjua nani ni Best katika Muziki upande wa Zanzibar.. 96.8 Zenji Fm inakuletea Zanzibar Musi Award 2011.. Kaa tayarii

Mpango Ndiyo huu sasa.....

Oooyooo!!! WAle wa Hip Hop Mko tayariiiiiii..... Ni wakati Mwingine tena Wa yes...i... & Bizzo Rythms Kudrop na Mzigo Mwingine, Unaokwenda Kwa Jina la Snichers na Heters.. Kazi imefanyika Jupiter Records Chini ya the Super Producer Aloneym .. Follow me..

Any Body Can Stop meeeee...  No Body can Stop! No body can stop! Dah hapo ndio Mwanzo wa ladha..

Wakiongea na Hip Hop Official in Z-town, Yes...i... & Bizzo Rythms, Wakali wa Muziki wa Hip Hop Kutoka katika Crew ya Kali Kwa wote Unit, wamesema kwamba ni Muda kidogo umepita tangu wafanye kazi ya pamoja wawili hao. So hii itakuwa ni Kazi yao ya Pili Kama wawili ukiachilia Mbali ile Waliyofanya na Kumshirikisha Mmoja Kati ya Jembe Kotoka Kali Kwa Wote Unit, Na ni Hip HOp Legendary in Z-Town.. Namzungumzia Cool Muza a.k.a Lah g bwaa!!..

Wakali hawa wa Hip Hop wamesema kuwa Katika Track hiyo wamemshirikisha the Super Duper Produces kutoka Jupiter Rec Aloneym..  Huyo ndio yes...i... & Bizzo Rythms..  Hip Hop 4 lif.

It's another time Brothers and Sisters.. Hire Now its Zanzibar Music Award 2011 ... Zanzibar Stand up!!! Mpigie Kura Aloynem Kama Producer Bora wa Mwaka .. Follow me.

ALONEYM : KUMCHAGUA ALONEYM KUWA PRODUCER BORA ZANZIBAR 2MA NAMBA 06 KWENDA NAMBA 0765968968 HAPO UTAKUWA UMEMUWEZESHA ALONEYM KUSHINDA TUZO HIYO 10X

Monday, May 9, 2011

Friday, May 6, 2011

Nyeusi Ni Nyeusi... Ngumu tena ni Nadra saaan GMF Babiiiiiiii Hip Hop 4 lif...

Je !! Unawafahamu washkaji wanaokwenda kwa jina la Dj Master Feda Na Lab 1?!! Hawa ni watu muhimu saana katika kuinua Mziki wa Hip Hop hapa Zenji.. Dj Master Feda Ni Dj naPreseter na Lab 1 ni Producer Wafuatilie hapa..

Dah!! Eeee Bwana ee, Hii tuliwabamba mitaa fulani ya Kiwengwa North Zanzibar wakila Bata.na washkaji zao wa karibu.. Aliye vaa Miwani ni Dj Master Feda Wa 96.8 Zenji Fm Radio Zanzibar.. Kiukweli Zaidi Mchizi aliingia Rasmi Kwenye hii Gemu ya Mziki wa Kizazi kipya tangu Mwaka 1999, Akiwa Kama Radio Dj And Presenter  Whichi ndio kitu Mchizi Anafanya hadi sasa..  Mwenye T-shirt ya Kijani (Green Tishirt) ni The Big Super Producer Lab 1. Who now Works in Dar. Hip Hop 4 lif..

Wednesday, May 4, 2011

Master E a.k.a The Element a.k.a Presider.. Or mwite Master E Babyiiiiiiiii!!!!

Hire is the man... When we talk About Hip Hop in Z-Ton also we 've to talk about about Master E.. Eeee Bhaaaana eeee huyu Jamaa anatishaaa.!!! Mwite The Element a.k.a Master E, The Presider... Si unajua tena jamaa nikutokana na Maujanja Suplier aliyonayo..   Z-town Stand up!!!  Hip Hop 4 lif..

Dj Choka a.k.a Mr. Apetite.

Anasema Maisha ni kuendelea hadi zamu yangu ya kushinda ifike. Sikatishwi tamaa na kushindwa ndipo nitaona kuwa ugumu nikipindi cha mapito kuelekea mafanikio.
Vilevile ni mtoto wa kwanza katika familia ya mzee Mtambachuo...ana wadogo zake watatu na wote wakike. Elimu yake niyakidato cha nne tu na baada ya hapo akaendelea kusomea computer mpaka alipomaliza na kuingia kwenye maswala ya mziki wa hapa nyumbani mwaka 2004. Pia Mtembelee kwenye hii.. www.bongostarlink.com

Tuesday, May 3, 2011

And this is .... Aloneym Touchaz The Super Produser in Jupiter Records Zanzibar...

The Best Producer in Zanzibar.. He Does his Work at Jupiter Records Zanzibar.. The Guy he 's the Best in Hip Hop, R&B, Kwaito, Zenji Fleva, and Bongo Fleva...   Hip Hop 4 lif.

..... Hire is Show 5, Show Gwara Show Mkono, a.k.a Yorum the President of Presenters.... He makes the Hip Hop to take over in Zanzibar..

Brod's & Sist's we cant Talk Hip Hop in Z-Town without to Menton Dj Side.. Hire is his Biogaphy