Hip Hop In Z-town Official

This iz ma Hood...

Our Aim

If we put the clock back a few more years to 1997 and take the ferry from Dar es Salaam to the island of Unguja (Zanzibar), local hip hop was mostly centered around a few individuals who all knew each other. There was no music industry to speak of, so the only rap recordings from those days were the live recordings of the ‘Mabishoo’ tape that was all taped on the sound system of Fuji Disco (Bububu, north of Zanzibar town) and a few more home-made albums like a cassette by Kim Pekee, one half of the duo behind ‘Mabishoo’.

Another guy involved with those recordings was Cool Para, who after a first rap effort went on to form his own rap group called Struggling Islanders together with Cool Muza, Haji and female emcees SJ & Aunt Suria. They got some funding from the ministry of education to go to the mainland to Soundcrafters studio and record ‘Historia’, a song about the beautiful history of post-revolution Zanzibar and a string of other tunes, which together made up their first album.

Right now the Hip Hop Music in Zanzibar Has taken Over WE 've a lot of Different Artists and Hip Hop Crew and Units. In Reality they are Doin very well in the Music Industry, compare wit Before. This Blog it's Privet Owned and it's hire to Support the Hip Hop Music and Artists with their career.. Lets show them our Support. NOTE THIS BLOG IT'S FOR PROMO ONLY.. Hip Hop 4 life..

Hip Hop is the Reality

Hip Hop is the Reality

Friday, August 26, 2011

Brand New Collabo

Ki aka Kheri Qula, Mchizi ni Mzaliwa wa Zanzibar anayeishi Nchini Holland dizaini anakula Nondo Pande za Holland Pa 1 na shule ambayo anayo ameamua kufunguka kupitia http://hiphopinz-townofficial.blogspot.com kuwa Mziki ni sehemu ya Maisha yake.... Alikutana na Wasafi President Diamond Platnum alipokuwa kwenye tour Nchini Holland na Kudrop Brand New Clollabo. Ngoma inaitwa The Only One, Mzigo umepigiwa BondSquad pande za Holland Chini ya Mtayarishaji Lon B aliyepiga Mzigo na Ali Kiba Kwenye ngoma ya Hadithi. Chini ya Carpet Video inanukia soon.. Sikiliza Ngoma yake Kwenye Play List.. Mixin ya Swagger za Kibongo na za Kiholanzi

Sunday, August 14, 2011

Habariiii Zenyu Bhaaaanaaa!!!!! Haina Majotroooo ndiyo Mpango... Basi Kama Vipi Sign in Kwa Passwords hizi hapa 88.2 Coconut Fm ndiyo Station Run The Beat ndiyo Kipindi Starling ni Yorum a.k.a Show 5, Young Tozzy Baaiiiibiiiiiii.....

.....Ni kweli kabisa ndani ya Zanzibar Huwezi kuitaja Hip Hop kama Hujamtaja Mwanaharakati wa ukweli kabisa anayefanya Muziki huu wa Hip hop uzidi kusonga Mbele.. Amekuwa Mstari wa Mbele katika Movement na kuhakikisha Muziki huu unakuwa na Kuzidi kukua si mwingine ni Yorum a.k.a Show 5 a.k.a Young Tozzy... Nilipata kupiganae story na jamaa na Nikamuuliza alifikiria nini hasa mpaka akaingia studio na kutengeneza Ink pamoja na all Hip Hop Stars in Zanzibar na sio aina nyingine ya muziki kama R&B, Zuku na mingineyo? Akaniambia Unajua kuwa Hip Hop ndio Muziki wa Ukweli Pekee ulio mkomboa Muafrika mweusi katika harakati za utumwa.. So Hip hop is Us and I am a Hip Hop.. Hahahahahaaa yaani jamaa ndio alimaliza hivyo.. Msikilise Kupitia Run the Beat,Kuanzia saa 02:00 pm hadi 05:00Pm  88.2 Coconut Fm Zanzibar, Tanzania..

Anasema, Nimezaliwa Kwa Jemedari Karume, It's tha Z-town usiulize Kwengine, Amma Zanzibarian Gangstar.... .... ..... Daimn ni Noumer xana xasa huyu Jamaa.. Msome pande za 507 Impalla...

....Nilibahatika kupita pande za 507 Impalla Kwa Mchina Mwanzo Zanzibar, na kukutana na Jemedari la Muziki wa Hip Hop ndani ya Visiwa vya Marashi ya karafuu Zanzibar, Nassor a.k.a Bizzo Rythyms na kupiga nae story mbili tatu.. Dahh!!! Huwezi amini mchizi alivokuwa na punch noma.. Jamaa aliniambia Hip Hop now kwa Zanzibar inafanya Vyema na Sasa wameachia Mzigo wao Mpya wa WE RUN THESE CITYS, A-Town & Z-Town.. amefanya yeye na Jembe lake la Kribu Kabisa Kutoka Arusha mwite Yes...i... Pia amesema kwa Fanz wao Wote wakae Mkao kwa Bonge ya Suprise mara Baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani..aliendelea kusema kuwa wamejipanga Vyema yeye na Yes...i... so watu wakae mkao wa kula na sasa hivi watakuwa wanafanya shuhuli zao za Muziki jijini Dar es salaam (Bongo). Pia nimegundua pia Jamaa ni Muumini safi wa Dini ya Kiislamu sababu nilifika kitaa na nikaambiwa Mshkaji hakuwepo cuz alikuwa Msikitini anafanya Ibada. ......

Anajulikana Kama Yussuf Moh'd akiwa kazini mwite 2- Point, 2 - Pweezy, Like Father like Son... a.k.a The King of the Afternoon shooow... Password zake ni 93.05 Hits Fm Zanzibar katika Bongo Zone...