Niggaz with knowledge is more dangerous than than niggaz with guns They make the guns easy to get and try to keep niggaz dumb... Thank you For ya Support our Fans By #Team KALI KWA WOTE UNIT Music BAND (KKW.Unit) @ Yes-I & Bizzo Rythms
Hip Hop In Z-town Official
Our Aim
If we put the clock back a few more years to 1997 and take the ferry from Dar es Salaam to the island of Unguja (Zanzibar), local hip hop was mostly centered around a few individuals who all knew each other. There was no music industry to speak of, so the only rap recordings from those days were the live recordings of the ‘Mabishoo’ tape that was all taped on the sound system of Fuji Disco (Bububu, north of Zanzibar town) and a few more home-made albums like a cassette by Kim Pekee, one half of the duo behind ‘Mabishoo’.
Another guy involved with those recordings was Cool Para, who after a first rap effort went on to form his own rap group called Struggling Islanders together with Cool Muza, Haji and female emcees SJ & Aunt Suria. They got some funding from the ministry of education to go to the mainland to Soundcrafters studio and record ‘Historia’, a song about the beautiful history of post-revolution Zanzibar and a string of other tunes, which together made up their first album.
Right now the Hip Hop Music in Zanzibar Has taken Over WE 've a lot of Different Artists and Hip Hop Crew and Units. In Reality they are Doin very well in the Music Industry, compare wit Before. This Blog it's Privet Owned and it's hire to Support the Hip Hop Music and Artists with their career.. Lets show them our Support. NOTE THIS BLOG IT'S FOR PROMO ONLY.. Hip Hop 4 life..Hip Hop is the Reality

Friday, May 13, 2011
Tuesday, May 10, 2011
Mussa Chombo Rk.. Dah!! Huyu jamaa ni Noumer... Huwa yeye kila kukicha anafikiria ni jinsi gani ataufanya Mziki wake usonge Mbele Zaidi . Mfuatilie Super Star huyu wa Hip Hop in Zanzibar..
he is-an-artist-of-bongo-flavor-as-a-rapper-with-a-lab-of-jupiter-studio-in-zanzibar-and-he is a brand-new-artist............
love-friends-chating-all-over-the-world..............
Monday, May 9, 2011
Bizzo Rythms & Langa ndani ya Jupiter Rec Zanzibar.... Harakati zinasonga..
....Brothers and Sisters, Ladies and Gents .. Huyu ni Yule Mzee wa Matawi yajuu a.k.a Langa akiwa na Msanii wa Mondoko ya Hip Hop Bizzo Rythms.. Katika Picha ya Pamoja Baada ya Kubadilishana Mawazo.. Hip Hop 4 liif..
Its time now Yes...i... , Bizzo Rythms & Langa.. si unajua tena Marevolution ndio Mpango.. Ndani ya Jupiter Rec katika Mzungumzo.. Movement ziendelee..
........... ndio kama hivo tena wazee wazima kutoka katika crew ya Kali Kwa Wote Unit.yes..i... & Bizzo Rythms. Wakiwa na Hip Hop Monster Langa Mzee wa matawi ya juu at Jupiter Rec Zanzibar.. Revolution has take over Hip Hop 4 lif..
Friday, May 6, 2011
Je !! Unawafahamu washkaji wanaokwenda kwa jina la Dj Master Feda Na Lab 1?!! Hawa ni watu muhimu saana katika kuinua Mziki wa Hip Hop hapa Zenji.. Dj Master Feda Ni Dj naPreseter na Lab 1 ni Producer Wafuatilie hapa..
Dah!! Eeee Bwana ee, Hii tuliwabamba mitaa fulani ya Kiwengwa North Zanzibar wakila Bata.na washkaji zao wa karibu.. Aliye vaa Miwani ni Dj Master Feda Wa 96.8 Zenji Fm Radio Zanzibar.. Kiukweli Zaidi Mchizi aliingia Rasmi Kwenye hii Gemu ya Mziki wa Kizazi kipya tangu Mwaka 1999, Akiwa Kama Radio Dj And Presenter Whichi ndio kitu Mchizi Anafanya hadi sasa.. Mwenye T-shirt ya Kijani (Green Tishirt) ni The Big Super Producer Lab 1. Who now Works in Dar. Hip Hop 4 lif..
Wednesday, May 4, 2011
Master E a.k.a The Element a.k.a Presider.. Or mwite Master E Babyiiiiiiiii!!!!
Hire is the man... When we talk About Hip Hop in Z-Ton also we 've to talk about about Master E.. Eeee Bhaaaana eeee huyu Jamaa anatishaaa.!!! Mwite The Element a.k.a Master E, The Presider... Si unajua tena jamaa nikutokana na Maujanja Suplier aliyonayo.. Z-town Stand up!!! Hip Hop 4 lif..
Dj Choka a.k.a Mr. Apetite.
Anasema Maisha ni kuendelea hadi zamu yangu ya kushinda ifike. Sikatishwi tamaa na kushindwa ndipo nitaona kuwa ugumu nikipindi cha mapito kuelekea mafanikio.
Vilevile ni mtoto wa kwanza katika familia ya mzee Mtambachuo...ana wadogo zake watatu na wote wakike. Elimu yake niyakidato cha nne tu na baada ya hapo akaendelea kusomea computer mpaka alipomaliza na kuingia kwenye maswala ya mziki wa hapa nyumbani mwaka 2004. Pia Mtembelee kwenye hii.. www.bongostarlink.com
Subscribe to:
Posts (Atom)