Hip Hop In Z-town Official

This iz ma Hood...

Our Aim

If we put the clock back a few more years to 1997 and take the ferry from Dar es Salaam to the island of Unguja (Zanzibar), local hip hop was mostly centered around a few individuals who all knew each other. There was no music industry to speak of, so the only rap recordings from those days were the live recordings of the ‘Mabishoo’ tape that was all taped on the sound system of Fuji Disco (Bububu, north of Zanzibar town) and a few more home-made albums like a cassette by Kim Pekee, one half of the duo behind ‘Mabishoo’.

Another guy involved with those recordings was Cool Para, who after a first rap effort went on to form his own rap group called Struggling Islanders together with Cool Muza, Haji and female emcees SJ & Aunt Suria. They got some funding from the ministry of education to go to the mainland to Soundcrafters studio and record ‘Historia’, a song about the beautiful history of post-revolution Zanzibar and a string of other tunes, which together made up their first album.

Right now the Hip Hop Music in Zanzibar Has taken Over WE 've a lot of Different Artists and Hip Hop Crew and Units. In Reality they are Doin very well in the Music Industry, compare wit Before. This Blog it's Privet Owned and it's hire to Support the Hip Hop Music and Artists with their career.. Lets show them our Support. NOTE THIS BLOG IT'S FOR PROMO ONLY.. Hip Hop 4 life..

Hip Hop is the Reality

Hip Hop is the Reality

Wednesday, June 8, 2011

Z- Town Mko Tayariiiiiiiiiiiiiii.... Ni wale wale The Prime Time Promotion (88.2 Coconut Fm, 88.4 Clouds Fm na Clouds Tv ) Kumdondosha Shaggy ndani ya Zanzibar International Fillam Festival tarehe 24 - 06 - 2011...

..........Habari yako Bhaana! Wewe Mkazi wa Zanzibar na Tanzania mpaka East Africa and Beyond, Pande hizi ni Mbishe Mwanzo Mwisho Arifuu.. Haya sasa wale wanaooniunga mkono kuwa Bata Boy.. Si Mbali sana kwa waleee wanaojuaga ile kipindi ya June July in the Z-Town si ndio hii..
  .. Tunalifungua Bata Kama ifuatavyo, Ni Ndani ya ZIFF (Zanzibar International Film Festival 2011), Wale watoto wa Ghorofani The Prime Time Promotion Wanawadondoshea Bongeee la Show Kutuka Kwa Gwiji la Muziki wa Ragga, Kutoka Kingstone Jamaica anayefanya kazi zake za Muziki huko Nchini Marekani.. Na huyu si Mwingine ni Orville Richard Burrell a.k.a Shaggy...........   Yaani hapo ni Bata tuu mpaka ile ile... Pia atakuwa Mwanamuziki Oliver Mtukuzi, na Wengine Kibaoooo.. Kama Vipi Terehe 24 - 06 - 2011, Tukutane pale Kati... Kwa habari Zaidi Sikiliza 88.2 Coconut Fm Zanzibar..   Haina Majotroooooooooooo!!!!!!!!............... 

Brothers & Sisters... Ladies & Gents.. Ni wakati Mwingine tena wa kuwapa Tuzo Wanamuziki wetu Ma Mziki Zanzibar.. Ni Siku ya Ijumaa ya Terehe 10 - 06 - 2011.. Pale Salama Hall Bwawani Hotel.. Njooni tuwapongeze masanii wetu kwa Kazi nzuri wanazozifanya..

Je Nani ni Nani?!!!  Kazi kwenu Mashabiki Zimebaki siku Chache kufunga Kupokea Kura Please haujachelewe Mpigie Kura Msanii Umpendaye.. Pamoja sana..