Hip Hop In Z-town Official

This iz ma Hood...

Our Aim

If we put the clock back a few more years to 1997 and take the ferry from Dar es Salaam to the island of Unguja (Zanzibar), local hip hop was mostly centered around a few individuals who all knew each other. There was no music industry to speak of, so the only rap recordings from those days were the live recordings of the ‘Mabishoo’ tape that was all taped on the sound system of Fuji Disco (Bububu, north of Zanzibar town) and a few more home-made albums like a cassette by Kim Pekee, one half of the duo behind ‘Mabishoo’.

Another guy involved with those recordings was Cool Para, who after a first rap effort went on to form his own rap group called Struggling Islanders together with Cool Muza, Haji and female emcees SJ & Aunt Suria. They got some funding from the ministry of education to go to the mainland to Soundcrafters studio and record ‘Historia’, a song about the beautiful history of post-revolution Zanzibar and a string of other tunes, which together made up their first album.

Right now the Hip Hop Music in Zanzibar Has taken Over WE 've a lot of Different Artists and Hip Hop Crew and Units. In Reality they are Doin very well in the Music Industry, compare wit Before. This Blog it's Privet Owned and it's hire to Support the Hip Hop Music and Artists with their career.. Lets show them our Support. NOTE THIS BLOG IT'S FOR PROMO ONLY.. Hip Hop 4 life..

Hip Hop is the Reality

Hip Hop is the Reality

Monday, June 13, 2011

Hii Ni katika Muendelezo wa Burudani Ndani ya Zanzibar.. Ni Party after Party..... Hii ndio June July Jombaaa, Sasa basi Kabla Lile Bata la Fiesta Haina Majotrooo Kukushukia July 24, 2011 tunaanza na ZIFF tarehe 24 June, 2011 msanii wa Miondoko ya Dancehall Orville Richard Burrell a.k.a Shaggy atadondoka na Bonge la Show

Wale wakali wa Burudani The Prime time Promotion wakishirikiana na ZIFF Zanzibar International Film Festival wanakuletea Bonge la Show Kutoka Kwa Msanii Mwenye Asili ya Jamaica Anaye ishi Nchini Marekani na Kufanya Kazi zake za Muziki Nchini Marekani Orville Richard Burrell a.k.a Shaggy ... Akizungumza na Chanzo Hiki Kwanjia ya Simu Mmoja Kati ya Wasemaji wakuu wa Prime time Promotion alisema kuwa Shaggy atakamua Booonge la Show Siku ya Ijumaa ya Tarehe June 24 Kwa Kiingilio cha Shilingi 15,000.00 Kwa Mtanzania na Shiling 100,000.00 Kwa Ambaye sio Mtanzania... Aliendelea kusema kuwa Show itafanyika Katika Viwanja vya Ngome Kongwe Mambo Club (Old Fort) Stone Town Zanzibar.. Milango itakuwa Wazi Kuanzia Saa 12 00 Jioni (0600Pm) ... Hii ndio June July... Party after Party.. Asante Prime Time Promotion Asante ZIFF..